Kuna Tofauti ya Haya mambo matatu..

1. Mwamini
2. Mtakatifu
3. Mwenye Haki

There is a difference between these three.. 1. A Believer
2. A Holy
3. A Righteous

The Majority of the Church is in a believer Dimension thats why Miracles and the workimgs of the Spirit are the Key to understand the Reality of God to both ministers and Congration.. The Holy Ones are very rare as The edification of the saints to he fullness of the doctrine of Christ is Limited by the Poor foundation to Discern Chirst at a Believer level.

The Righteous Shall be Saved by Knowldge indeed.. They are the First Fruits of God, barely And Strictly formed by God himself for the truth preservation.

Walk knowing How you are Santincified.

Sehemu Kubwa ya kanisa ni waamini ndio.maana miujiza na matendo ya roho huonesha uhalisi wa Mungu kwa wote, yaani watumishi na kundi zima

Watakatifi ni wachache kwa sababu ukamilisho wa watakatifu katika fundisho la Kristo umeminywa kutokana na msingi mbovu wa kupima mfumo Kristo katika nafasi ya kuwa mwamini.

Wenye Haki wataokolewa Kwa Maarifa Hakika. Ni Malimbuko ya Mungu, kwa umakini Mungu huwafanya mwenyewe kwa ajili ya Kuihifadhi Kweli.

Tembea Ukijua jinsi unatakaswa.#Awakening#Truth#Santification Order #We Rule #Repentance#illuminantsof the Day #CHRIST

Recent Posts

Leave a Comment

Contact Us

We're not around right now. But you can send us an email and we'll get back to you, asap.

Not readable? Change text. captcha txt